pole sana aiseekwasababu huku tunafanyishwa kazi Kama punda halafu mshahara mbuzi
Sasa ukijiajiri mwenyewe ndio utafanya kazi mara punda zaidi ya 5000.Habari zenu wadau,Mimi ni hotelia nataka kuacha kazi nijiajiri mwenyewe kwenye sekta ya kilimo kwasababu huku tunafanyishwa kazi Kama punda halafu mshahara mbuzi,nakaribisha maoni yenu wadau mlioacha kaz mkajiajiri mlifanyaje.
Asante mkuuHotelia ni kazi ya chini sana ila sio mbaya umefikiria nje ya box kama una mtaji kapambane kwenye kilimo kinalipa huku hatupangiwi bei ya kuuza
Ndo nipo kwenye mchakato mkuuvipi ulishaacha kazi?kuna mwingine hapa anataka kuacha nikuunge nae mjadiliane au
Sawa mkuuHakikisha una mtaji wa kutosha na uanze kubana matumizi kujiajiri si lelemama unaweza kabisa ukaitamani tena ajira yako.
Kwahiyo unanishaurije mkuuSasa ukijiajiri mwenyewe ndio utafanya kazi mara punda zaidi ya 5000.
Hata ruhusa hakuna huku kwenye kujiajiri.
Wapi huko hampangiwi mkuu nije nilime bossHotelia ni kazi ya chini sana ila sio mbaya umefikiria nje ya box kama una mtaji kapambane kwenye kilimo kinalipa huku hatupangiwi bei ya kuuza
Habari zenu wadau,Mimi ni hotelia nataka kuacha kazi nijiajiri mwenyewe kwenye sekta ya kilimo kwasababu huku tunafanyishwa kazi Kama punda halafu mshahara mbuzi,nakaribisha maoni yenu wadau mlioacha kaz mkajiajiri mlifanyaje.
Kuna jirani yangu amelima Chinese nusu eka...! .unaelewa nilisema hakuna hata mtu mmoja anayehangaika na mboga zake..amechanganyikiwa...mboga inavutia balaa .ameipiga booster unaikubali lainiiii....Dah... Kilimo
Labda cha mbogamboga
Kuna jirani yangu amelima Chinese nusu eka...! .unaelewa nilisema hakuna hata mtu mmoja anayehangaika na mboga zake..amechanganyikiwa...mboga inavutia balaa .ameipiga booster unaikubali lainiiii....
Kilimo kwa miaka hii inataka umaskini Sana Sana! Kuna siku kajitoa ufahamu kajaza tenga Zima..katuma kijana hakuuza hata fungu moja...sijui kwanini...! Nadhan kuangalia na aina ya mboga za kupanda
Ukiziona utabaki kushangaa..amepeleka mawenzi..Hilo fungu la Mia ukiliona...! Unafunga tatu kavuKiukweli rafiki Kilimo ki ujumla ni pasua kichwa
Lakini huyo Jirani naye alijichanganya, yaani amelima nusu heka nzima ya Chinese bila kuandaa soko (nusu heka ya mboga mboga ni kubwa aisee)
Angeweza hata kwenda kwenye soko/hoteli kuwaomba wanunue mboga mboga kwake (awape sababu za kuhama kule walipo)
Pia kwa kuwa ndio ameanza, angeweza kuikata nusu heka mara 4, zipishane hata kwa wiki tatu au nne nne
Ukiziona utabaki kushangaa..amepeleka mawenzi..Hilo fungu la Mia ukiliona...! Unafunga tatu kavu
Ni mlokole amemleta nabii aombee shamba😆🤸Ukiwa na roho nyepesi unasema umelogwa kabisa
Ni mlokole amemleta nabii aombee shamba
Wale waleAisee, ndio mawazo yale yale ila yeye kaenda upande wa pili
Unaweza kuta ameomba, halafu ndio amemaliza anasubiria Mungu atende