Wewe sio muhimu kama unavyo fikiria

pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
10,098
12,472
Habari za leo wadau ikiwa imebaki mda mchache kabla ya burudani ya Taifa stars na Morocco.

Leo nataka niongee na watu ambao wanafanya kazi sekta binafsi au serikalini kuna watu wanajiona muhimu sana yaani wanaamini bila wao kampuni itakufa au kazi zitakwama, nawaambie nyie sio muhimu kama mnavyo fikiria na maisha yanaweza kwenda bila nyinyi.

Mimi nyumbani kuna wastaafu na mtaani pia nawaona wafanyakazi wengi wanatufuta maisha baada ya kustaafu na wanadhani wakistaafu ndio watakula maisha sasa leo nataka niongee na wafuatao:–

1. Kuna watu wapo kazini wengine wana vyeo wengine wafanyakazi wa kawaida hawataki kwenda likizo kwa madai ya kwamba wakiondoka hakuna wakufanya majukumu yao na hata wakienda hawamalizi wiki washarudi kumbuka wewe sio muhimu kama unavyofikiria.

2. Kuna watu wana vyeo na nafasi zao ni nyeti basi wanaona sifa wakiwa likizo wanapigiwa simu kuulizwa mambo ya ofisini ndugu yangu kuna kustaafu jipange aliyesema hapa kazi tu ameondoka na maisha yanaendelea hauna umuhimu huo.

3. Kuna watu wapo kazini mwaka wa 5 au wa 10 hawataki kwenda kujiendeleza wanadai wakiondoka ofisini wafanyakazi watakuwa wachache ndugu yangu nenda kasome utakuja kufokewa na mtoto mdogo na kutumikishwa kwa kukosa elimu inayotakiwa nenda shule ofisi sio ya baba yako.

4. Kuna hawa ambao wapo karibu na mabosi zao wanawakatalia kwenda likizo kwa kigezo cha kwamba wewe ni muhimu ukiondoka ofisi itayumba na unakubali wewe ni bwege kumbuka kuna maisha baada ya kazi.

5. Kuna hawa makamanda wameajiriwa mbali na familia zao yaani hawa jamaa hawashiriki harusi ya mtu wala msiba wa mtu wao kazi yao kutuma hela za mchango na pole ndugu yangu hakuna anayeweza kufanya kila kitu mwenyewe shirikiana na watu wangapi walikuwa na kazi na vyeo leo wapo mtaani hawana mbele wala nyuma utakuja kujuta siku moja.

6.Kuna hawa jamaa wao mda wote wanawaza kazi tu ukikutana nae mtaani yeye ni story za kazi mda wote hawa ni wakuwakwepa kwasababu kuna maisha baada ya kazi hakuna aliyetajirika kwa kuajiriwa fikiria nje ya box kazi zipo utaondoka na utaiacha watakuja wengine waendeleze.

7.Kuna hawa wanaomba likizo wanalipwa halafu wanabaki pale pale sehemu zao za kazi itakuwa bado hawajajua maana ya likizo ndugu yangu maisha unayoishi ya kujibana bana ili utengeneze future yako watu wanaweza kuteketeza ulivyochuma kwa miaka 10 ndani ya mwezi mmoja baada ya kufariki jipe mda wa ku enjoy nenda hata zanzibar uka refresh kuna siku utakuwa na pesa ila afya hauna just enjoy the show while dancing.

8.Kustaafu kupo usiogope kustaafu kwasababu mtaani wapo watu wengi wanaishi wamejiajiri na wengine wapo wamestaafu kwa hyo wewe sio wa kwanza kwenye kitu chochote hivyo usiogope.

9.Mnaofanya kazi mpaka weekend ili muonekane na boss mnapiga kazi hayo sio maisha lazima utenge mda wa kazi na mda wa kutulia na familia na ku enjoy life usibebe kazi za ofisi nzima mgongoni baadae mtakuja kujuta kazi hazina shukran fanya kila kitu kwa kiasi.

10.Hakuna pengo lisilo zibika kuna watu wapo sehemu wanafanya kazi katika vitengo vyao wapo wenyewe tu basi wanajiona wajanja na kwamba bila wao kila kitu kitasimama nataka nikwambie Alikuwepo MAGUFULI alikuwepo isaac Newton alikuwepo Henry Ford alikuwepo nikolas Tesla wote wameondoka na duniani inaendelea na innovation zimeongezeka hauna umuhimu huo ukifa leo kesho inatangazwa job vacancy we endelea kupandisha mabega na kudharau wenzako kwa dhamana ya cheo ulichonacho muda ni mwalimu mzuri.

No one is irreplaceable in any field don't feel high.

Alamsik just enjoy life is too short.
 
Maneno Kuntuuuuu Mkuuu ,upo mtaa genii, kama upo kariba na baa beba bapa zako mbili nakuja kulip
 
Mimi boss wangu kila ikifika zamu yangu ya kwenda likizo ananinominate nikashiriki activity yenye ulaji mzito. Hua najikuta naenda likizo maximum 2 weeks kwa mwaka. Ingawa hua natafuta namna ya kufidishia kwa viexcuse vya hapa na pale.
 
Back
Top Bottom