Unamaanisha nn labda kusema hivyo,itakuwa n wale wale,mm nahassle sna hku nilko,nmemjengea nyumba ameondokna na adha ya kupanga lkn bado haniheshimu,this time i must be beyond a radical,
Where is the love?
Sasa Mbona unapaniki kabla hujamsikiliza. Women have Hormones ambazo by nature(kiukweli) ni mzigo kwao. Its hard for them to put up straight with raging hormones. Kwa hiyo kuchuniwa na mwanamke si issue. Umechuniwa hata bila sababu.Amani kwenu, mimi niko mbali na familia yangu kikazi.
One week ago, nilimpigia simu mke wangu zaidi ya mara 90 ndani ya masaa 12, bila kupokea, mwishoni akapokea bila kuongea, from the nikaendelea na business.
Jana ndo anabip, nataka anipe ukweli unless NARUDISHA KWAO.
Ushauri please