sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,853
Salama mkuu sister ??
kitu cha kwanza angetakiwa awaze ''MKE WANGU ANATATIZO GANI?" yaani imuume na apige simu hata kwa jirani ili ajuzwe tatizo ili aweze kumsaidia, sasa huyu mkuu yeye simu mara 90 hata hashtuki na kujali yeye anawaza kuibiwa tu....kwanini hakuwaza labda anaumwa?? kwanini awaze kuchepukiwa tu? namashaka na mwenendo wa huyu mkuu.
Namshukuru Mungu niko vizuri.....
anyway inawezekana alishapata fununu kuwa mkewe si mwaminifu.....lakini pamoja na hilo si sahihi kuwaza kuibiwa moja kwa moja........
Last edited by a moderator: