Nataka 50,000,000 ya pamoja, nilime heka ngapi za nyanya/viazi mviringo?

Buzi Maarufu

JF-Expert Member
Oct 30, 2019
423
330
Tafadhali nipeni msaada wazoefu, msimu gani unafaa kwa kilimo cha mazao tajwa hapo juu,pamoja na gharama zitakazotumika kuhudumia,lengo langu ni 50M mtaji nilionao cash ni 10M ,lengo langu kuwa mkulima/mfanyabiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali nipeni msaada wazoefu ,msimu gani unafaa kwa kilimo cha mazao tajwa hapo juu,pamoja na gharama zitakazotumika kuhudumia,lengo langu ni 50M mtaji nilionao cash ni 10M ,lengo langu kuwa mkulima/mfanyabiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una ndoto hizi USILIME.

Point yangu:-
1. Acha kuwaza kikubwa hivyo.
2. Tambua kwenye kilimo kuna kukosa pia.
3. Anza kidogo ukitumia eneo dogo na mtaji kidogo kidogo.
4. Kuutupa mtaji wote risk kubwa sana.
5. Usilimie bila kuwa na soko (Anzia sokoni).
6. Ukilima eneo dogo utajifunza changamoto na jinsi ya kuzikabili, na utaweza kuongezeka kidogo kidogo.
7. Hizo Mil 50 zitakuja zenyewe. Hazitafutwi kwa haraka hivyo.

KARIBU KWENYE KILIMO.
UKILIMA KILIMO BIASHARA KINALIPA.

#YNWA.

Wrote from Anfield..!!
 
Lima tu ila kuna siku ukianguka na pressure kabla hujakata roho uje hapa utupatie experience ya hizo senti za mkopo. Kuna jua, mvua, wadudu na kukosa soko. Siku jua limeanza utaanza maumivu ya kichwa taratibu.

Mvua ikipiga na magonjwa yakaja utakwenda choo bila kuhara, acha wadudu waharibifu. Yote Tisa, umeshafikiria vile shamba limekubali afu soko limechuna?

Umefikiria wakati hayo matunda yameiva na muda huo soko haliyahitaji? Haki ya Mungu sijui hata kama utakumbuka kukaa kwenye hicho kitochi kutupa mrejesho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lima tu ila kuna siku ukianguka na pressure kabla hujakata roho uje hapa utupatie experience ya hizo senti za mkopo. Kuna jua, mvua, wadudu na kukosa soko. Siku jua limeanza utaanza maumivu ya kichwa taratibu. Mvua ikipiga na magonjwa yakaja utakwenda choo bila kuhara, acha wadudu waharibifu. Yote Tisa, umeshafikiria vile shamba limekubali afu soko limechuna? Umefikiria wakati hayo matunda yameiva na muda huo soko haliyahitaji? Haki ya Mungu sijui hata kama utakumbuka kukaa kwenye hicho kitochi kutupa mrejesho!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakumbuka tu ondoa shaka,nimeshapoteza pesa mara kibao na sijawahi kuanguka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama una ndoto hizi USILIME.

Point yangu:-
1. Acha kuwaza kikubwa hivyo.
2. Tambua kwenye kilimo kuna kukosa pia.
3. Anza kidogo ukitumia eneo dogo na mtaji kidogo kidogo.
4. Kuutupa mtaji wote risk kubwa sana.
5. Usilimie bila kuwa na soko (Anzia sokoni).
6. Ukilima eneo dogo utajifunza changamoto na jinsi ya kuzikabili, na utaweza kuongezeka kidogo kidogo.
7. Hizo Mil 50 zitakuja zenyewe. Hazitafutwi kwa haraka hivyo.

KARIBU KWENYE KILIMO.
UKILIMA KILIMO BIASHARA KINALIPA.

#YNWA.

Wrote from Anfield..!!
Asante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali nipeni msaada wazoefu, msimu gani unafaa kwa kilimo cha mazao tajwa hapo juu,pamoja na gharama zitakazotumika kuhudumia,lengo langu ni 50M mtaji nilionao cash ni 10M ,lengo langu kuwa mkulima/mfanyabiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Soko unalo nakushauri chukua hiyo pesa kanunue ukauze mjini, kilimo ni pasua kichwa labda kama hivyo viazi na nyanya utaprocess mwenyewe
 
Soko unalo nakushauri chukua hiyo pesa kanunue ukauze mjini, kilimo ni pasua kichwa labda kama hivyo viazi na nyanya utaprocess mwenyewe
Kilimo SAYANSI.
Tupo kwenye kilimo miaka 5 na kinasonga.

Hakuna kazi isiyo na changamoto.

Kanuni za kilimo.
Soma sanaa
Elewa sanaa
Uliza sana.

Sasa wewe kwenye kuweka mbolea ya WINNER we unaweka CAN..

hapa mbovu ni wewe au kilimo?

Mbona wazungu hawafeli?
Kwasababu wana FULL INFORMATION.

KNOWLEDGE is POWER.

#YNWA

Kulima sawa, je soko unalo? Madalali hawakupunji?
 
Kulima sawa, je soko unalo? Madalali hawakupunji?
Madalali nao wanategema hali ya soko. Kuna kipindi Nyanya ilikuwa 2,000 kwa tenga, hapo hata madalali huwaoni. Mwaka huu Nyanya ilifika mpaka 70,000 na zaidi kwa tenga tena bei ya shamba. Kwenye kilimo kitu cha kwanza ni ubora wa product yako halafu hali ya soko na bei vinafuata.
Sehemu nilipo, 2017 mwezi wa 9 mpaka 12, bei ya nyanya ilikuwa nzuri 25,000 mapaka 35,000, mwaka uliofuta 2018 miezi hiyo bei ilikuwa 8,000 mpaka 15,000.
 
Hapo napokwambia parachichi zangu (miche) ina miezi 6.
Nimechakata akili nimepata kampuni ilitaka kununua Matunda nikawajibu mimi bado sanaa.

Yaani niliwafikia bila connection yoyotee zaidi ya mimi na simu yangu.
Nilitafuta namba za meneja nikaomba appointment, nikapewa na nimefanya.

Huwa sihitaji MTU kwenye yangu... NIKIAMUA KUFANYA NAFANYA.

Una smartphone... Unajua kuongea... Unajua kuomba Mungu.
NINI KENGINE UNATAKA?

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
Natamani Sana kulima miparachichi,je nikiwa na milioni mbili kuanzia kununua shamba miche vibarua nk,je naweza kuwa na miche mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom