Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
hahaha, mimi naandaa ''aplication'' to you, ya kuomba udada wa hiari. lol
Serious? Naisubiri kwa hamu hiyo barua.
hahaha, mimi naandaa ''aplication'' to you, ya kuomba udada wa hiari. lol
We unatafta mzazi au unatafuta bwana?? Maana maelezo yako hayajashiba.
Aisee mi natafuta binti mzuri wa kazi anisaidie kazi za nyumbani kama upo tayari NiPM
kule vijijini kuna wazee wengi sana ambao hawana wajukuu wala watoto wasalimie mkuu teh teh
Natafuta mzazi sitafuti bwana.
Natafuta mzazi sitafuti bwana.
Umri gani wa mzazi umtakae.
Kama ni bint jins nilivyokusoma hi post yko unaonekana adabu yako ipo zero! Haupo wazi pia si mnyenyekevu! Nakupa ushuhuda mm toka nmepata ufahamu sina baba wala mama ila mzazi wangu nilimweka kwenye imani ya dini! Mungu ni baba wa yatima. Leo nimekuwa mtu mzima sasa. Ushauri wangu njoo kwa Yesu yeye ndo mfaliji tosha. Nilipata mama wa hiyari alinifukuzaa. Falaja tosha ni kwa Yesu pekee na si kwa mwanadamu
Morning jf,
Mimi ni bint natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama mzazi ampendavyo mwanae nami nitafanya kama mtoto afanyavyo kwa mzazi wake daddy mom ni pm kama unahitaj mtoto wa hiari.
umemaliza?
ni pm cc tupo watoto wawil tu. Ili baba na mama wakirud kutoka kazn niwaeleze ili uwe part of our family.
Kilichobaki sasa ni mume tu ndio atakuletea baba na mama wa hiar we ni pm plz
Ni ushauri tuu bint[okay
umemaliza?
Nani atapenda kulea binti mwenye kiburi namna hii?
Kama huhitaji mume hutapata na hupat wazaz wa hiar[sawa