Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
unamiaka mingapi!?? na mi nlikua natafuta mtoto wa hiari....
Hahaha. Mtoto mtotoo, au mtoto mtoto?
unamiaka mingapi!?? na mi nlikua natafuta mtoto wa hiari....
Wazazi wangu walifariki,nina miaka 19.
Nataka niwe kaka yako kirosafiii njooo WhatsApp +639080756515
Pole sana mdogo wangu,npm nikuunganishe na wazazi wangu maana humu mmh!....
hehhe havina tofauti banah, tutamix vyote vyote :redface::redface:Hahaha. Mtoto mtotoo, au mtoto mtoto?
Tabia zako zikoje?
Morning jf..me ni bint..natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzaz anavomfarij mwanae pia ambaye atanipenda kama mzaz ampendavyo mwanae..nami nitafanya kama mtoto afanyavyo kwa mzaz wake daddy mom ni pm kama unahitaj mtoto wa hiari.
Hayo sasa majanga
Isijekuwa ww ni binti yangu maana hilo jina la pili ni langu, hebu tuwasiliane maana wanaume sisi njia zetu ni nyingi hasa enzi hizo za ujana wetu!
Hapana,am not your daughter.