tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,143
Wakuu nimeanza project ya kuchoma mkaa vijiji vilivyopo kando ya barabara ya Mbeya- Chunya(Ilea), wiki ijayo nitakamilisha gunia 100. Nina mpango wa kuusafirisha mpaka Mbeya mjini, hivyo kwa walio Mbeya mjini , mwenye uhitaji anipm!!