Natafuta wanunuzi wa asali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta wanunuzi wa asali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mega Watt, Jul 9, 2012.

 1. M

  Mega Watt Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mnunuzi wa asali au anae elewa wapi naweza kupata soko zuri naomba msaada wenu
  nauza kwa jumla na sio rejareja
   
 2. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Kwa jumla ni kiasi gani kaka maana lazima tujue bei na kwamba ina ubora gani na inatoka mkoa gani?
  Toa maelezo
   
 3. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Kaka nimekupm mbona hujajibu kitu?
   
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Peleka mzigo wako Honey King pale Kibaha, watanunua wote.
   
Loading...