Natafuta wakala wa Safaricom

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
795
657
Kama title inayojieleza hapo juu, natafuta wakala wa safaricom au mtu mwenye cash kwenye safaricom mpesa kwa tanzania, nataka niweke pesa kwenye safaricom mpesa. Kama upo DAR itakuwa poa sana...
 
Ulifanikiwa kumpata kaka?
 
Kama title inayojieleza hapo juu, natafuta wakala wa safaricom au mtu mwenye cash kwenye safaricom mpesa kwa tanzania, nataka niweke pesa kwenye safaricom mpesa. Kama upo DAR itakuwa poa sana...

Nenda Lumumba Kariakoo karibu na office za Tahmeed kuna wakala wa safaricom
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom