Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,698
Kama kweli unataka kumtumikia Mungu , choma mikoba yote uhakikishe imekuwa majivu . Kumuachia mtu Ni sawa na kuendeleza ushetani .
Nitume mimi hapaNdugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.



Hiyo center ikiwa itahusisha meditation basi ntakuwa nahudhuria kila nipatapo muda...sitaki shida na wanadamu tena.. Nahitaji upweke na amani na maombi kwa sana huku nikifundisha mambo ya kiroho kwenye center yangu
Safi kabisa. Kwako wewe Uchawi ni nini hasa na historia yake ilianzia wapi ?Sawa kabisa
Huko sitafika uwezo wangu ni mdogo sana ila hiki ninachokijua mahala pake ni hapa.Karibu nakusubiri... Kituo kikiwa tayari nitakualika uje kutoa mada
Vigezo havijatajwa mkuu naona umewahi sanaMgosi, ninejipima! Nikaona nastahili kabisa kupewa hicho kiti. Ila nina sharti moja tu. Uwe mtu wangu wa kwanza kumfanyia zoezi lokote lile la hicho Kilinge.
Hahaaa,huoni sasa kaka wadau watapungua sana.Mojawapo ya kigezo ni kuwa mgumba