Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
Km Kweli umeamua kumrudia Mungu,basi hiyo usimrithishe mtu yeyote bali uchome viteketee kabisa, halafu utubu na uweke Nia ya dhati kabisa ya kumtumikia Mungu.
 
Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
Hakuna dhambi KUBWA duniani kushinda USHIRIKINA. Kama uko serious kweli na una maanisha chukua nasaha hizi,waungwana huwa hawajifaragui na UOVU bali ukibainikiwa na ukweli hutubu na kurejea kwa Mola wao.

Ushauri wangu choma moto na yateketeze hayo mavitu.
 
Hakuna kinachokosa masharti na vigezo..
Pros unapata kila utakacho kwa wakati utakao bila kusogeza hata mguu
Cons vita na vilinge vingine nk
Kilinge chako kama kidogo huoni kuwa unampa matatizo kwa kupata ushindani TOKA nje?

Je mtu ambaye mweupe hana basic za kutunza vilinge anafaa? Kama. Nia ipo
 
Roho ikishazaliwa haifi... Vilinge haviteketei kwa moto...kinachoungua ni visible objects tuu
Uchawi unateketezwa kwa moto mzee.

Hapa itabidi tudurusu tamko uchawi ni nini. Kwa kuanzia tu kuna Uchawi wa aina mbili,ukirejea katika historia ya uchawi,kuna ule walio kuja nao wale Malaika wawili na kuna ule mwingine wa kabla.

Naendelea ....
 
Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
Bora umechagua njia iliyo bora!
Hongera kwa hilo.

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
mie naomba kuuliza unaweza kuondoa mtu majini aliokuwa nayo ambayo ni ya uganga???maana nimemaliza chuo nasota na hangaika kwa kila hali ila holaaaa mpm sasa.

naambiwa niganguo muarabu yupo kichwani.
Hapana hilo la majini siliwezi kabisaa
 
Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
Kachome moto hiyo mizigo uwe huru au kaitupe porini fisi waisambaratishe. Bado kuna watu wana mambo kama haya yasiyo na uhakika wala maana!
 
Kinachonishangaza Mkuu ilikuwaje wewe ambaye ni well educated person kuingia kwenye hii sekta. Mimi siku zote nilikuwa najua hii sekta ni watu wa hovyo hovyo tu lumpen good for nothing ambao wamekata tamaa na maisha hivyo huingia kwenye hii sekta kuwadhuru binadamu wenzao ama ndugu, jamaa, marafiki na majirani. Je tangu uingie kwenye hii sekta umeshakutana na wasomi kama wewe au hata kukuzidi ambao nao wanafanya haya makitu? Nina maswali mengi sana Mkuu lakini najua huwezi kufunguka kiasi hicho kama ulivyodai hapo juu. Kuruka angani ni lazima iwe usiku tu? Huwezi kuruka mchana kama unaenda mahali na umechelewa ukaamua kufanya maujanja yako ili uwahi sehemu husika?
kaka watu wanaroga tena na PhD zao.. Watu wa kaliba ya juu hasa , sio lumpen very well educated figures na kati yao wamo viongozi wa dini....
Ishu ya kuruka ni fantasy tu.. People do fly 24/7 wale warukao usiku ni wachawi wa kaliba ya chini mno...
BAK dunia imejaa washirikina na walozi wapo kila mahali ila wanajificha nyuma ya kaliba zao
 
Hakuna dhambi KUBWA duniani kushinda USHIRIKINA. Kama uko serious kweli na una maanisha chukua nasaha hizi,waungwana huwa hawajifaragui na UOVU bali ukibainikiwa na ukweli hutubu na kurejea kwa Mola wao.

Ushauri wangu choma moto na yateketeze hayo mavitu.
moto utaunguza tunguli na mapembe sio nguvu husika
 
Back
Top Bottom