Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
😂😂😂🙌Dah!
 
Kwenye iyo mikoba mitatu ni upi ambao unaweza kutuma kombora Ubelgiji na likafika chini ya dakika 10?
 
Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
Mimi ungeniachia, sema nikiona Jina la Elly Mshana najua kabisa nimewahiwa.
Au si ndugu yako mkuu
 
Dah hili jibu lake litakuwa page kadhaa ..lakini niseme tu kwamba kila jambo na wakati wake...hata ulevi una ukomo wake pia...
Unajua shetani akizeeka anakuwa malaika
Najivunia kutafuta mrithi nikiwa katika mikono salama, siha njema, furaha na mafanikio ya kidunia
Changamoto kubwa ilikuwa ni kule kujizuia kudate na warembo ambao walikuwa wagonjwa wangu
Kwenye warembo hapo utafanya warithi kurudishe majeshi nyuma bro.tunavopenda hivi haramu iliyonona
 
Jumapili unaongea vitu kama hivi?. Mshana jaribu kuwapa kondoo kilicho bora si hayo matango pori, muumba wako anakutazama jinsi unavyo taka kupoteza watu wake. Unaelewa wazi wengi wao maarifa ni tatizo si kama hawamjui Mungu la hasha wanamjua shida ni maarifa. Sasa usitumie udhaifu huo kuzamisha waumini na wafia dini kwa kila aaminie MUNGU
 
Mshana mkuu wangu unanichekesha yaani wewe unarudi kwa Mungu halafu sisi unatuambia tuje kwa shetani? hebu fanya kutafutatafuta hata ndugu yako hapo hauna hata mdogo wako anayependa uchawi
 
Jumapili unaongea vitu kama hivi?. Mshana jaribu kuwapa kondoo kilicho bora si hayo matango pori, muumba wako anakutazama jinsi unavyo taka kupoteza watu wake. Unaelewa wazi wengi wao maarifa ni tatizo si kama hawamjui Mungu la hasha wanamjua shida ni maarifa. Sasa usitumie udhaifu huo kuzamisha waumini na wafia dini kwa kila aaminie MUNGU
matango pori
 
Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
Kwani una umri gani kwa sasa??
 
Kachome moto hiyo mizigo uwe huru au kaitupe porini fisi waisambaratishe. Bado kuna watu wana mambo kama haya yasiyo na uhakika wala maana!
Ushirikina ndio una run dunia hata ukipinga huu ukweli utabaki hivyo hivyo
 
Uchawi unateketezwa kwa moto mzee.

Hapa itabidi tudurusu tamko uchawi ni nini. Kwa kuanzia tu kuna Uchawi wa aina mbili,ukirejea katika historia ya uchawi,kuna ule walio kuja nao wale Malaika wawili na kuna ule mwingine wa kabla.

Naendelea ....
Karibu nakusubiri... Kituo kikiwa tayari nitakualika uje kutoa mada
 
Back
Top Bottom