Tupe pros na cons za hio mikoba.......wengine watu wa tungi na mabebezNdugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
- Mkoba mkuu mmoja
- Mkoba wa kati
- Mkoba mdogo
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!
Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.
Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!
Asanteni.
Mshana huwa nakupendea hapa tu kwa kusema ukweli.Hapana sitaki hii kitu iendelee kwangu
Umenena!Kwahiyo mkuu kama wewe unarud kwa Mungu
Nani aende kwa shetani?![]()
Ni kweli kabisaSasa boss wewe unatoka upotovuni lakini unataka mtu wa kumuacha upotovuni wa kuishika nafasi yako!
Hapo bado na wewe utakua kwenye upotovu tuu
Jibu lake lipate matangazo tv& radio stations ili watu wapate kuponaHadi mganga kaokoka kweli mganga ni Mungu tu, sasa dr. naomba kufahamu ni mafakio gani uliyopata kutokana na kilinge na mikoba yote hiyo?katika nyanja hizi(socially,economically,politically etc?)
Je ni changamoto gani pia umekumbana nazo? Na kwanini umeamua kutafuta mrithi sahivi?
Umeamua kumtumikia Muumba sahivi baada ya kugundua kwamba hata uwe Boss mkuu wa kilinge bado Mungu ni mkuu zaidi eeh? Siku zote ulikua bado huamini?
Ilikuaje hadi ukapewa wewe huo urithi kutoka kwa huyo aliyekupa? Ulitimiza vigezo gani hadi ukapewa? Je hii njia unayoitumia kutafuta mrithi ndiyo iliyotumika kwako?
Finally tuambie mapema vigezo watu tuje kwenye usahili dr.![]()
Dah hili jibu lake litakuwa page kadhaa ..lakini niseme tu kwamba kila jambo na wakati wake...hata ulevi una ukomo wake pia...Hadi mganga kaokoka kweli mganga ni Mungu tu, sasa dr. naomba kufahamu ni mafakio gani uliyopata kutokana na kilinge na mikoba yote hiyo?katika nyanja hizi(socially,economically,politically etc?)
Je ni changamoto gani pia umekumbana nazo? Na kwanini umeamua kutafuta mrithi sahivi?
Umeamua kumtumikia Muumba sahivi baada ya kugundua kwamba hata uwe Boss mkuu wa kilinge bado Mungu ni mkuu zaidi eeh? Siku zote ulikua bado huamini?
Ilikuaje hadi ukapewa wewe huo urithi kutoka kwa huyo aliyekupa? Ulitimiza vigezo gani hadi ukapewa? Je hii njia unayoitumia kutafuta mrithi ndiyo iliyotumika kwako?
Finally tuambie mapema vigezo watu tuje kwenye usahili dr.![]()



Mtani kwenye kutafuna ile bidhaa ulishinda kweli??Dah hili jibu lake litakuwa page kadhaa ..lakini niseme tu kwamba kila jambo na wakati wake...hata ulevi una ukomo wake pia...
Unajua shetani akizeeka anakuwa malaika
Najivunia kutafuta mrithi nikiwa katika mikono salama, siha njema, furaha na mafanikio ya kidunia
Changamoto kubwa ilikuwa ni kule kujizuia kudate na warembo ambao walikuwa wagonjwa wangu![]()