Natafuta vinyago vya kuvaa mwili mzima

Natafuta vinyago vya kuvaa mwili mzima

Shibalanga

Senior Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
178
Reaction score
93
Ndg zangu natafuta vinyago vya kuvaa mwili mzima,ninaandaa program ya watoto itakayorushwa kwenye televisheni hivyo vinyago ni muhimu sana kwenye show hiyo,natafuta vya sungura,dubu,binadamu na hata vingine kama nitaona vitawavutia watoto,vilevile nakaribisha taasisi,kampuni hata watu binafsi tufanye partinership kutengeneza vipindi vya watoto.tuwasiliane kupitia shibalanga@yahoo.com
 
vinyago kama vile vinavyotumiwa na mashabiki wa mipira ulaya
hivyo labda tungoje wadau lasivyo ingia ebay uagize
mkuu nimeipenda hiyo, maana kipind kitachangamka kwelikweli
 
Ndg zangu natafuta vinyago vya kuvaa mwili mzima,ninaandaa program ya watoto itakayorushwa kwenye televisheni hivyo vinyago ni muhimu sana kwenye show hiyo,natafuta vya sungura,dubu,binadamu na hata vingine kama nitaona vitawavutia watoto,vilevile nakaribisha taasisi,kampuni hata watu binafsi tufanye partinership kutengeneza vipindi vya watoto.tuwasiliane kupitia shibalanga@yahoo.com

ninacho cha nyani
 
ndugu upo serious kweli? unataka pia kinyago cha binadamu? wewe mwenyewe mbona unatosha kuwa kinyago???????
 
wengi wenu mlio comment hamko serious kwann lkn mtu kaja na post yake vzr wengine wanaanza kumwambia vitu vya ajabu ajabu km huna cha kuongea nyamaza c lazima ku comment na ww uonekane umecomment. nawasilisha
 
Ujue mi niko zaidi ya serious ila naona kuna watu humu ni masihala mwanzo mwisho ndo hawa kila kukicha ni kulalamikia serikali,hii nayo ni moja ya sababu kwanini hatupigi hatua kimaisha,nashukuru baadhi ni waelewa kama huna cha kuchangia kaa kimya
 
Maundumula,nataka vinyago vya kununua,na si vile vya kuchonga kama baadhi ya rafiki wanashauri niende pale mwenge, ninavyotafuta mm ni kama vile wanavyovaa mashabiki kwenye mechi za Ulaya
 
Mie nilielewa ni ile mavazi kama father Xmas ila ni aina ya wanyama. Nakushauri chukua picha nenda kwa mafundi wabunifu wanaweza kukusaidia kwa kukushonea, vinginevyo ulizia maduka yenye toys hizo kisha uondoe sponge na kuweka zip. Inabidi uwe mbunifu huwezi kupata ready made
 
Ndg zangu natafuta vinyago vya kuvaa mwili mzima,ninaandaa program ya watoto itakayorushwa kwenye televisheni hivyo vinyago ni muhimu sana kwenye show hiyo,natafuta vya sungura,dubu,binadamu na hata vingine kama nitaona vitawavutia watoto,vilevile nakaribisha taasisi,kampuni hata watu binafsi tufanye partinership kutengeneza vipindi vya watoto.tuwasiliane kupitia shibalanga@yahoo.com

Ni pm namba yako.
 
Kama bado haujapata, kuna duka la vitu vya asili mlimani city. Liko pembeni ya shear illusion.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom