Habari zenu wana janvi., mimi ni mhitimu wa chuo kikuu mda mrefu sasa. Nimepambana sehem tofauti tofauti bila kufanikisha malengo na nimeenda mpaka kwenye migodi midogomidogo kutafuta ridhiki lakini napo sikufanikisha.
Mwaka huu nililima ekari moja ya vitunguu huko Singida kwa bahati mbaya kama mnavyojuwa ukame wa mwaka huu ni sheeda, vitunguu vimeungua na hakuna tena matarajio. Nia na madhumuni ya kupambana hivyo ni kutafuta namna ya kutafuta mtaji na kujiajiri maana kujiajiri kuna changamoto kubwa sana ya Mtaji.
Ninaomba kama kuna kijana au kikundi ambacho tunaweza kukutana na kutafakari kwa kina nin cha kufanya tutafutane, ila uaminifu ni kitu cha msingi zaidi maana mimi naamin uaminifu ni dhamana kubwa.Mim napatikana Dar es Salam ila nipo tayari kwenda popote ndani ya Tz kwa ajili ya kufanya kazi iliyo halali.
Kwa pamoja tunaweza na penye nia pana njia. Natanguliza shukran zangu za dhati an karibuni sana hata kwa ushauri tu maana kila siku kichwa kinaniuma. Kuna watu wanapitia magum mengi mpaka kuja kufanikisha kikubwa ni kutokata tamaa.