Natafuta vijana watano tufanye biashara

monopoly inc

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
3,177
2,000
Mbona hutoi details za kutosha ili anaekuja ajue anaanzia wapi
Location
Mtaji
Chakula gani
Watu wangap
 
Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
12,430
2,000
Mbona hutoi details za kutosha ili anaekuja ajue anaanzia wapi
Location
Mtaji
Chakula gani
Watu wangap
Boss wakishapatikana hao watu watano tutaweka options mezani then itajadiliwa na solution itakayopatikana ndo tuna anza nayo. Karibu sana
 
Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
972
1,000
Nafikiri ungeandika pia Kila mmoja awe na Mtaji kiasi gani ili uwapate watu wenye sifa stahiki
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,089
2,000
Mungu akawe pamoja nanyi ktk kila zuri mtakalo jadili,Akasaidie ktk upatikanaji wa vijana wakweli na wenye nia njema na Awafanikishe ktk viwango vile mlivyo tamani iwe,Ni idea nzuri sana sana sana kama mtakutana wote mna nia na lengo 1 isitokee mkapshana ktk maono yenu hakikisheni wote target yenu ni 1.

nimeipenda sana lakini mimi ni moja wa vijana wasio amini ktk biashara za ushirika yani boss zaidi ya mmoja,ila hii hainifanyi niwaache peke yenu bado nitakua pamoja nanyi wakati wote mtakaonihitaji kimawazo/ushauri/pesa kama mko serious,Count me in nitawasaidia kama vijana wenzangu tu.
 
Sivan

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
939

Good Mentor.
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
12,317
2,000
Natafuta vijana watano walio siriyaz na kazi tuungane tufanye biashara. Itakuwa ni biashara ya chakula.

Sisi ndio wafanya kazi na sisi ndio maboss. Niko Arusha kama utapenda ku join karibu. Nicheki wasap 0768246184.

NB: jinsia zote mnakaribishwa.

"USIPOFANYA KITU, HAKITATOKEA KITU"

CC CONTROLA
Wizi huu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom