Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,807
- 128,127
Kazi y
Kazi ya kuchezea mchanga? Ok chezea wewe,mkeo na watoto wako..
Mtoa mada ni mwanamke, hvy afyetue hayo matofali na mume wake.Fyatua hizo tofali na mkeo
Kazi y
Kazi ya kuchezea mchanga? Ok chezea wewe,mkeo na watoto wako..
Mtoa mada ni mwanamke, hvy afyetue hayo matofali na mume wake.Fyatua hizo tofali na mkeo
Tafuta helaMtoa mada ni mwanamke, hvy afyetue hayo matofali na mume wake.
Wenye pesa hawawezi kuwaambia watu hvyTafuta hela
Tafuta helaWenye pesa hawawezi kuwaambia watu hvy
Hiyo biashara yako ni ya Billion ngapi?Huna hela ya kununua
🤣🤣Matofali ya aina gani mana kama ni ya cement na mchanga huwa wanalipwa 5000 moka 6000 kwa mfuko na kwa siku wanaweza kupiga mifuko mpka 20 wakiwa watu sita au watano kwamba kila mtu anaondoka na 20000 mpaka 25000 sasa sijui we utapata wapi mtu wa kumlipa 5000 kwa kazi ya siku..Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji nimeamua kutoa ajira Kwa vijana wenzangu Ili tuweze kusonga mbele
Upo sawa huku ni mpka 6000 inategemea na unatoa matofali mangapi kwa mfuko..Hata mim nafahamu hivyo kwamba kufyatua tofauli kwa Gharama ya mfuko mmoja, Mfano huku kwetu mfuko mmoja wa saruji ni 4000- 5000 kutokana na maelewano. Kwahyo raia wakikupigia mifuko 20 ya wanaondoka kama na 80k mpaka 100k.
🤣🤣we hujui kazi ya kukimbia na tofali unakunywa chai na chapati 4 ikifika saa nne unasikia njaa kama mama anaenyonuesha mkuu ndomna watu wanalipwa 6000 kwa mfuko mkuu ile kazi ni ngumu hakuna kusimama tokea 12 mpaka 12Maskini hatunywi chai braza naona wewe hujapita huko ndio maana unaongea nadharia
Sijawahi kuomba kazi mzeeHamna natafutaga masikini kama wewe Ili niwalipe 5000 mchezee. Mchanga
Basi Uzi haukuhusu ni shobo zako tuSijawahi kuomba kazi mzee
Sahihi sanaUtaibiwa cement wewe na tofali ,,elfu tano kwa siku? Wenzako wanahesabiana kwa mfuko ,kufyatua mfuko mmoja ni Tsh 5000.
Hahaha🤣🤣we hujui kazi ya kukimbia na tofali unakunywa chai na chapati 4 ikifika saa nne unasikia njaa kama mama anaenyonuesha mkuu ndomna watu wanalipwa 6000 kwa mfuko mkuu ile kazi ni ngumu hakuna kusimama tokea 12 mpaka 12
Ungemtangazia mumeoBasi Uzi haukuhusu ni shobo zako tu
Fyatua mwenyewe tu kaka ili kutunza pesa...Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji nimeamua kutoa ajira Kwa vijana wenzangu Ili tuweze kusonga mbele