Natafuta vijana wa kufyatua matofali

Natafuta vijana wa kufyatua matofali

Unga kilo buku ukichukua mashineni, maharage unanunua kwa jumla bei inapungua, dagaa wa mwanza na nyanya chache pilipili kama zote; hapo msosi wa kibarua tayari, wapikie vijana wapige kazi.
Ukikakaa nao vizuri kuna baraka zake.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji nimeamua kutoa ajira Kwa vijana wenzangu Ili tuweze kusonga mbele

Utaibiwa cement wewe na tofali ,,elfu tano kwa siku? Wenzako wanahesabiana kwa mfuko ,kufyatua mfuko mmoja ni Tsh 5000.
 
Elf Tano kutwa kula juu yake, hebu ajiri hata ndugu zako utakuwa umewasaidia,
 
Utaibiwa cement wewe na tofali ,,elfu tano kwa siku? Wenzako wanahesabiana kwa mfuko ,kufyatua mfuko mmoja ni Tsh 5000.
Hata mim nafahamu hivyo kwamba kufyatua tofauli kwa Gharama ya mfuko mmoja, Mfano huku kwetu mfuko mmoja wa saruji ni 4000- 5000 kutokana na maelewano. Kwahyo raia wakikupigia mifuko 20 ya wanaondoka kama na 80k mpaka 100k.
 
Yes ndivyo mafundi wanavyofanya mapatano ni kwa mfuko ,hakuna hata mmoja atakayekubali kuajiriwa kwa mkataba huo wa elfu 5 kwa siku ,kama wakikubali hapo jua kuna kitu wanataka wakifanya kama sio kumuibia cement basi kumuibia tofali.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji nimeamua kutoa ajira Kwa vijana wenzangu Ili tuweze kusonga mbele
Mtu afyetue tofali siku mzima afu alipwe buku 5, hii ni modern slavery.
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji nimeamua kutoa ajira Kwa vijana wenzangu Ili tuweze kusonga mbele
Sidhani kama hiyo kazi unaijua vizuri, kazi inayotaka mtu ale hasa na ashibe maana nguvu inatumika sana, sasa hiyo elf 5000?...mtu wa kawaiida ukikodisha mashine wanachaji elf kwa mfuko! Je hapo wapige mifuko 10 na kuendelea?...hutoboi.
 
Back
Top Bottom