Natafuta vijana wa kufyatua matofali

Natafuta vijana wa kufyatua matofali

Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji nimeamua kutoa ajira Kwa vijana wenzangu Ili tuweze kusonga mbele
We jamaa fala sana kijijini kwenyewe wanalipa 7000 kutoka saa moja na nusu Hadi saa 10 na chakula Cha mchana unapewa .

Hio 5000 kalale mbele
 
Kwanini hiyo kazi usiifanye wewe na watoto wako?
 
Mimi pesa ninazo Nina mashine za kufyatulisha matofali dar sehemu 7 na ajiri masikini kama wewe
Kwaiyo hayo machuma saba ya SIDO tayari ushajiona tajiri kweli Tanzania hakuna masikini maana hata mwenye bodaboda saba naye atajiita tajiri
 
We jamaa fala sana kijijini kwenyewe wanalipa 7000 kutoka saa moja na nusu Hadi saa 10 na chakula Cha mchana unapewa .

Hio 5000 kalale mbele
Tafuta hela siwezi kukulipa hiyo pesa Kwa kazi ya kuchezea mchanga
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji nimeamua kutoa ajira Kwa vijana wenzangu Ili tuweze kusonga mbele
Sehemu nyingi elfu 5 ni bei ya kufyatua mfuko mmoja. Lakini hii ya kwako elfu 5 kwa siku sidhani kama kuna mtu atakufuata.
 
Back
Top Bottom