Salaam kwenu nyote wadau wa hili jukwaa, natafuta vijana machachari watatu kwa ajili ya mapishi na kuhudumia jiko la chips na mahitaji yote na piah nahitaji mabinti wawili wazuri na wenye kujua kuhudumia wateja.mlio tayar tuwasiliane......