Natafuta vijana makini kwa kazi

bisti

Senior Member
Aug 29, 2017
167
151
Salaam kwenu nyote wadau wa hili jukwaa, natafuta vijana machachari watatu kwa ajili ya mapishi na kuhudumia jiko la chips na mahitaji yote na piah nahitaji mabinti wawili wazuri na wenye kujua kuhudumia wateja.mlio tayar tuwasiliane......
 
Mkuu msaidie huyu PRINCEBOY Kashahangsika sana na hili jukwaa kutafuta kazi ya upishi na zinginezo.

M pm atajieleza mwenyewe..
Salaam kwenu nyote wadau wa hili jukwaa, natafuta vijana machachari watatu kwa ajili ya mapishi na kuhudumia jiko la chips na mahitaji yote na piah nahitaji mabinti wawili wazuri na wenye kujua kuhudumia wateja.mlio tayar tuwasiliane......
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom