Sio lazima tulime zote ,tutalima kulingana na uwezo wetu, hao vijana 10 ni kwa ajili ya nguvu kazi maana katika kilimo nguvu kazi ndio inatumia gharama kubwa.Unataka vijana kumi walime ekari hamsini? Yaani kila mmoja ekari 5?!! Hauko serious. Ni dhahiri wewe si mkulima.
Anza kidogo na ulicho nacho. Si lazima ulime zote kwa wakati mmoja. Kama una hela ajiri temporary laborers.. (Think big but start small ) Lima hata ekari 2 au 5 ili upate mtaji wa kulima shamba lote.
Naomba ufute mawazo ya kutafuta vijana kumi, tena unatafuta humu JF. Afu eti mkae kambini kipindi chote (4 months )
Tafakari upya. Kilimo hakihitaji kukurupuka. Ila nashauri uanze mwenyewe. Tena anza mara moja
Kila la heri.
Mr Confidential
Hili nalo ujuaji mwingiiiUnataka vijana kumi walime ekari hamsini? Yaani kila mmoja ekari 5?!! Hauko serious. Ni dhahiri wewe si mkulima.
Anza kidogo na ulicho nacho. Si lazima ulime zote kwa wakati mmoja. Kama una hela ajiri temporary laborers.. (Think big but start small ) Lima hata ekari 2 au 5 ili upate mtaji wa kulima shamba lote.
Naomba ufute mawazo ya kutafuta vijana kumi, tena unatafuta humu JF. Afu eti mkae kambini kipindi chote (4 months )
Tafakari upya. Kilimo hakihitaji kukurupuka. Ila nashauri uanze mwenyewe. Tena anza mara moja
Kila la heri.
Mr Confidential
Unatafuta nguvu kazi au unatafuta washirika??Sio lazima tulime zote ,tutalima kulingana na uwezo wetu, hao vijana 10 ni kwa ajili ya nguvu kazi maana katika kilimo nguvu kazi ndio inatumia gharama kubwa.
Lengo ni kutoa ajira kwa wengine.
Tukikaa kimya mtasema tunaringa. Tukiongea mnasema wajuaji sana..... Anyway ndivyo wabongo tulivyo...Hili nalo ujuaji mwingiii
Uko wap mkuuAjira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na nguvu kazi.
Kwa kipindi chote tutaishi kambini mpaka kuvuna mazao yetu.
Walio tayari PM mnakaribishwa.
😆😆😆
Washirika.Unatafuta nguvu kazi au unatafuta washirika??
Kama kweli ni pm mkuu..na taarifa zote za uo mradi najua lazma tupate zile 5% za kila halmashaur..Ajira zimekuwa ngumu sana,nahitaji vijana 10 wa jinsia tofauti tufanye kilimo cha mahindi,eneo nimeshapata ekari 50 kinachohitaji ni hao vijana 10 kwa ajili ya nguvu kazi ,kununua mbegu,mbolea na nguvu kazi.
Kwa kipindi chote tutaishi kambini mpaka kuvuna mazao yetu.
Walio tayari PM mnakaribishwa.
Mibongo Siku Zote Ni Takataka Tupu.Unataka vijana kumi walime ekari hamsini? Yaani kila mmoja ekari 5?!! Hauko serious. Ni dhahiri wewe si mkulima.
Anza kidogo na ulicho nacho. Si lazima ulime zote kwa wakati mmoja. Kama una hela ajiri temporary laborers.. (Think big but start small ) Lima hata ekari 2 au 5 ili upate mtaji wa kulima shamba lote.
Naomba ufute mawazo ya kutafuta vijana kumi, tena unatafuta humu JF. Afu eti mkae kambini kipindi chote (4 months )
Tafakari upya. Kilimo hakihitaji kukurupuka. Ila nashauri uanze mwenyewe. Tena anza mara moja
Kila la heri.
Mr Confidential
Usibwabwaje hapa! Note my point "ANZA MWENYEWE " Point ni kuanza!Mibongo Siku Zote Ni Takataka Tupu.
Yaani Inaamini Kila Mtu Anaweza Kupambana Kivyake Vyake Tu Mwisho Wa Siku Inajikuta Haina Hata Bodaboda,
Nasubiri na Wale Wa Ukiitwa Kwenye Fursa Ujue Wewe Ndo Fursa.
Mtu Pekee Asiyependa Ushirikiano Huwa Ni Shetani Kwa Kuwa Siku Zote Penye Ushirikiano Pana Mafanikio Makubwa.
Tuendelee Kuwa Vibarua Wa Wahindi, Hatuna JipyaUsibwabwaje hapa! Note my point "ANZA MWENYEWE " Point ni kuanza!
Nadhani kuna umuhimu wa kuzingatia ushauri wa Mr confidential, hapo kashauri uanze peke yako kingine ni ngumu sana kupata watu 10 wa kuanza nao hicho kilimo,Tuendelee Kuwa Vibarua Wa Wahindi, Hatuna Jipya
Nadhani kuna umuhimu wa kuzingatia ushauri wa Mr confidential, hapo kashauri uanze peke yako kingine ni ngumu sana kupata watu 10 wa kuanza nao hicho kilimo,