25 HP ni kubwa sana mazee kwa VFD kufanya kazi, nyingi za kubadilisha single phase to three phase ni kwa motor za chini ya 10HP zaidi ya hapo main breaker itakata instantly, solution waite TANESCO wakuwekee three phase au diesel generator, labda wengine wana solution zaidi watasaidia