Natafuta Uwanja Morogoro Mjini

Natafuta Uwanja Morogoro Mjini

[HASHTAG]#roga[/HASHTAG] roga kuna viwanja vipo maeneo ya kihonda mji mpya karibu na shule ya secondari ya mji mpya, ni vya mzee wangu na jizi juzi alikua akitafuta mteja. kam hutajali niku pm namba yake uongee nae mwenyewe na bei yako hatakataa japo ni vikubwa
 
Kiongozi uwe serious kidogo, nimeweka contact yangu hapo lakini bado unataka niku-PM !!!! Nimeomba unipigie au utume sms au utumie watsapp tufanye biashara, huko pm kunanini wakati namba yangu ipo hapa hapa
 
Nitafute ndg yangu ninavyo viwili kimoja kiko karibu na watumishi housing, kingine kiko kihonda Kilimanjaro karibu na yespa sec school nitafute kwa namba hizi 0713449460/0755206666/0621078130/0784449460
Hiki cha Kihonda Kilimanjaro kinaukubwa gani na ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom