Natafuta Uwanja Morogoro Mjini

Roga Roga

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
656
496
Wana JF habari?? Nahitaji uwanja maeneo ya kihonda, kiegeya, mkundi au maeneo mengine yanayoendelea kwa morogoro. Buget yangu ni milion 3. Uwanja uwe na ukubwa usiopungua mita square 750. Nahitaji biashara na mmiliki wa uwanja, MA DALALI SIWAHITAJI. Mwenye uwanja anicheki kwa sms au kupiga au watsapp 0765-057495
 
Kuna jamaa mmoja niliona tangazo anauza viwanja vyake alivyopima maeneo ya Kiegeya.

Juzi nilimpigia kumuulizia akawa anajibu kidharau dharau. Kama utahitaji namba zake nikupe.
 
Kyegea mkundi kihonda unatafuta nini huko shida kubwa ya maji na umeme siku hizi tunakimbilia bigwa na Kingolwira, Kingolwira yupo mtu alikuwa anauza eneo lake karibu na star city niliambiwa milion 4 lina na kibanda kipya ni jirani yangu ila simfahamu wapo vijana wanaotulindia wanamfahamu....,,0783 656554 kwa kesho kuanzia saa 5 asbh kwani ni siku ya mapumziko
 
Kingo Kuna maji!!! jamani acheni kudanganya watu
 
Kuna maeneo siyo kote hakuna maji wewe umeomba msaada halafu unaona unadangaywa nyanyuka ukaone hivi unategemea uambiwe kuna mahali halafu ukimbilie kununua bila assessment ndg yangu sasa Kingolwira ninayokusmbia ni huku walipopima UTT mabomba yapo na umeme ni eneo nyeti kwa morogoro sasa hivi na wasingapore walishakuja tayari kuanza ujenzi wa viwanda karibu na hilo eneo
 
Nina kiwanja chenye ukubwa wa nusu hekari maeneo ya Mkundi. Bei ni 4m, if you can afford njoo PM
 
Kyegea mkundi kihonda unatafuta nini huko shida kubwa ya maji na umeme siku hizi tunakimbilia bigwa na Kingolwira, Kingolwira yupo mtu alikuwa anauza eneo lake karibu na star city niliambiwa milion 4 lina na kibanda kipya ni jirani yangu ila simfahamu wapo vijana wanaotulindia wanamfahamu....,,0783 656554 kwa kesho kuanzia saa 5 asbh kwani ni siku ya mapumziko
Morogoro nzima sasa hivi kuna shida ya maji. Sidhani kuna mitaa yenye uhakika na maji.
 
nipe tu nijaribu huwezi jua akanielewa
c6a011ff2750bef442042fb0374589f6.jpg
 
Hiyo ni shida ya muda tu baada ya kukosa vuli na Mungu kashusha neema masika imeanza maji yanatoririka kama kawaida.ila cha msingi ni mtu ameomba apate kiwanja ndio tunachomsaidia swala la ukosefu wa maji ni karibu nchi nzima
 
Yeye anataka kiwanja kidichozidi mil 3 maeneo hayo bei zake zinajulikana, kuna watu walichukua maeneo makubwa enzi hizo wanaanzs kuyauza sasa hata hapo kushoto ya hospital mbele kidogo viliuzw sana bei ya kiwanja kidogo ilikuwa mil 8 ni maeneo hot sasa hivi kama hiyo hospital itafanikiwa kuisha
 
Kyegea mkundi kihonda unatafuta nini huko shida kubwa ya maji na umeme siku hizi tunakimbilia bigwa na Kingolwira, Kingolwira yupo mtu alikuwa anauza eneo lake karibu na star city niliambiwa milion 4 lina na kibanda kipya ni jirani yangu ila simfahamu wapo vijana wanaotulindia wanamfahamu....,,0783 656554 kwa kesho kuanzia saa 5 asbh kwani ni siku ya mapumziko

kwani hiyo bigwa na kingolwira si ndio panajengwa bandari ya nchi kavu, kwa hiyo mnatafuta wa kumtupia zigo baada ya ngosha kuwaambia kuwa hatawalipa fidia..
 
Nitafute ndg yangu ninavyo viwili kimoja kiko karibu na watumishi housing, kingine kiko kihonda Kilimanjaro karibu na yespa sec school nitafute kwa namba hizi 0713449460/0755206666/0621078130/0784449460
 
Wana JF habari?? Nahitaji uwanja maeneo ya kihonda, kiegeya, mkundi au maeneo mengine yanayoendelea kwa morogoro. Buget yangu ni milion 3. Uwanja uwe na ukubwa usiopungua mita square 750. Nahitaji biashara na mmiliki wa uwanja, MA DALALI SIWAHITAJI. Mwenye uwanja anicheki kwa sms au kupiga au watsapp 0765-057495
namtumia namba bro angu ndo anauza huo uwanja atakupigia
 
Back
Top Bottom