Natafuta Kiwanja Morogoro, kiwe 30 * 30 au zaidi

Natafuta Kiwanja Morogoro, kiwe 30 * 30 au zaidi

Northern Lights

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
412
Reaction score
367
Kiwe maeneo ya Kihonda, Mkundi, Bigwa, Lukobe au Nane nane. Pia kiwe kimepimwa. Weka na bei kabisa. Kama ukubwa sio 30*30 basi walau kiwe kuanzia 700 square meters
 
Ninacho maeneo ya mawasiliano,mkundi mbele,kimepimwa na kinasubiri hati,(kimeshawekwa mawe ya utambuzi)

Ukubwa wake ni 35×35M

Bei ni 4.5Million,nicha kwangu mwenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom