!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Ukisema used unamaanisha nini hasa? unataka scrapper, yaani haitembei kabisa, au utapenda linalotembea pia? Boat pia hua zinauzwa na injini au bila injini. Kuna rafiki yangu anauza boti yake, inatembea dola 6500, iko tanga. nk
Kama upo iringa ni pm ninazo.Habarini nyote,
Natufuta Used Marine Board ili nimalizie ka ujenzi kangu.
kama kuna mtu anazo tafadhari tujilishane.