Natafuta used landcruiser ambulance kutoka Uarabuni

Olecranon

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,384
751
Wapendwa wanajamvi, ninaomba Kama kuna mwenye kujua kampuni huko Uarabuni za kuuza magari yaliyotumika. Ninatafuta used landcruiser ambulance. Ningependa kufanya biashara na kampuni zinazoaminika. Asanteni sana.
 
sawa ,,,lakini kwa nini unataka toka za uarabuni tuu?
Popote inakopatikana nitashukuru. Nimesema uarabuni kwa kuwa Japan haya magari hakuna yaliyotumika. Europe Kama yapo na unaijua kampuni inayoaminika tafadhali nitonye.
 
Unajua kuwa uarabuni nchi zote wanatumia left hand, au unataka hizo hizo?
 
Wapendwa wanajamvi, ninaomba Kama kuna mwenye kujua kampuni huko Uarabuni za kuuza magari yaliyotumika. Ninatafuta used landcruiser ambulance. Ningependa kufanya biashara na kampuni zinazoaminika. Asanteni sana.
Toa namba yako ya simu utapata hiyo gari mapema tu
 
Wapendwa wanajamvi, ninaomba Kama kuna mwenye kujua kampuni huko Uarabuni za kuuza magari yaliyotumika. Ninatafuta used landcruiser ambulance. Ningependa kufanya biashara na kampuni zinazoaminika. Asanteni sana.
Mpigie huyu Bwana SHUAIB, ni mtu mzuri sana na muaminifu. +971555063499
 
He will send you all the pictures of the vehicles .
That'll be great. But pictures only may not be enough to create a trust. Do you know people who have worked with him and receive their cars bila usumbufu?
 
Wapendwa wanajamvi, ninaomba Kama kuna mwenye kujua kampuni huko Uarabuni za kuuza magari yaliyotumika. Ninatafuta used landcruiser ambulance. Ningependa kufanya biashara na kampuni zinazoaminika. Asanteni sana.
Belgium zipo za kumwaga ukiwa hujapata nitakupa contacts zao
 
Bado sijapata ndugu yangu. Nimeona online na niliwasiliana na hiyo kampuni lakini niliogopa kuendelea nao kwa sababu ya trust. Naomba nipatie contacts.
 
Back
Top Bottom