Natafuta underground wacheza filamu

Natafuta underground wacheza filamu

Habari!

Husika na kichwa cha habari hapo juu, natafuta vijana wenye nia ya zati ya kutafuta pesa na kutoka kimaisha na wenye kipaji cha kuigiza filamu, karibu katika kikundi chetu uweze kuonyesha kipaji chako, elimu kuanzia form four kuendelea mbele!

Plizzzzz Mimi hapa 0682546464
 
Muwe makini, msikimbilie kutoa namba za simu wakati hata maelezo ya mleta uzi hayajitoshelezi. Ameshindwa hata kusema ofisi iko wapi, anahitaji vijana wangapi. Anyway mkiibiwa mje mtupashe habari hapa jamvini.
 
Habari!

Husika na kichwa cha habari hapo juu, natafuta vijana wenye nia ya zati ya kutafuta pesa na kutoka kimaisha na wenye kipaji cha kuigiza filamu, karibu katika kikundi chetu uweze kuonyesha kipaji chako, elimu kuanzia form four kuendelea mbele!

If you really mean it then
0753716747
 
Naomba niwe translator, maana hizi bongo movie??? Hivi bado zinauza kweli??
 
Mbona hujaandika mpaka mwisho sasa.....unakimbilia wapi?
 
Hapo wanatafutwa, na msishangae kuambiwa kuna kiingilio!
 
nicheki kaka mimi nina group la vijana nakuza nahisi watakusaidia ila uwe na uhakika cyo ulaghai no;0712751699
 
Back
Top Bottom