Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
- Thread starter
- #41
Labda kwa kifupi tuu, Mimi na mwenzangu hatufanyi vikao na hatuna Kamati, hicho ni kiasi kidogo tulichojiwekea wenyewe ili kufanikisha swala letu, hatuna watu wa kutuwezesha hivyo, na ungesoma vizuri juu nimesema ni joint wedding inamaana hata yeye anaweza kufatilia mtu wa Mapambo wakati Mimi nafatilia ukumbi.harusi ni ya wanaume.. nashangaa ukumbi unatafutwa na mdada..
harusi za budget kubwa huwa hazijagi jamiiforums humu kutafuta ukumbi au msaada wa huduma yeyote...
maana kila kitu kinajulikana hata instagram na ukiuliza mtaani wanaeleweka nani watoa huduma wazuri..
sitaki kuamini kamati iliyokusanya milioni 36 haijitambui majukumu yake na kumwachia bibi harusi kazi ya kutafuta ukumbi na huduma zingine huku harusi ni jukumu lao kamati na familia ya mwanaume,,,,hata ukumbi wategemee msaada wa jamii forums..
mimi ningemuelewa kama angesema anatafuta ukumbi nafuu.. ila ukumbi wa harusi yenye budget milion 36 sizani kama ni kitu cha kuwaza sana...
sababu kumbi nzuri nyingi ni around 2m tu..
Nia yetu ni kuwakusanya ndugu jamaa na marafiki zetu kukaa nao pamoja, lakini kila tunayemuomba msaada ya wedding venue wanataja kumbi zinazoingiza watu wachache mfano Maratha ya Msimbazi inapokea watu 350 tuu, sisi tutakuwa zaidi ya 450
Sent using Jamii Forums mobile app