Mimi ni mhitimu wa Kidato cha Sita, natafuta nafasi ya kazi Dar

Twins love

Senior Member
Jan 27, 2022
114
160
Mimi, muhitimu wa kidato cha sita, kutokana na kukosa ada nilishindwa kuendelea na masomo yangu na hivyo kukatisha ndoto, nipo Dar, naombeni mnisaidie ajira kwa yeyote anayefahamu ajira au mwenye connection nahitaji msaada.

Kazi yoyote tu isipokuwa mamantilie na kazi za ndani, pia kazi inayokiuka maadili kama kujiuza pia siwezi fanya. Naombeni msaada ndugu zangu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Back
Top Bottom