Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
Naombeni msaada kwa anayefahamu ukumbi au bustani nzuri ya kufanyia Harusi dar es salaam, yenye uwezo wa kuingiza watu 450-500 (joint wedding). Isiwe na masharti sana ya kuchukua kila kitu hapo hapo, wahusika watatokea Tabata na upanga. Natanguliza shukrani kwa majibu nitakayopata
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app