Licas Casky
Member
- Aug 7, 2014
- 17
- 4
Natafuta mkopo wa kiasi hicho tajwa hapo juu. Kwa haraka msaada please, sitaki bank sababu ni shida ya haraka.
Contact me 0716 026077
Contact me 0716 026077
Nipo namsubir ajibuNyumba ni yako?
Gari ni lako?
Je nyumba na gari vina thamani gani, na vipo wapi?
hati ya gari au nyumba unavyo.?
weka na picha
Nyumba iko Tabata na gari pia, tunaweza kuwasiliana kwa simu tafadhali. picha hapana mkuu.Nyumba ni yako?
Gari ni lako?
Je nyumba na gari vina thamani gani, na vipo wapi?
hati ya gari au nyumba unavyo.?
weka na picha
Kwa mda gani?Riba ya 40 percent unakubali?
Natafuta mkopo wa kiasi hicho tajwa hapo juu. Kwa haraka msaada please, sitaki bank sababu ni shida ya haraka.
Contact me 0716 026077
Mkuu, Gari ni aina gani? nyumba iko Tabata Sehem gani?Natafuta mkopo wa kiasi hicho tajwa hapo juu. Kwa haraka msaada please, sitaki bank sababu ni shida ya haraka.
Contact me 0716 026077
Ha ha ha. Janja janja jazz band. Kuna mtu anaenda kutapeliwa 15m pundenyumba iko tabata na gari pia, tunaweza kuwasiliana kwa simu tafadhali. picha hapana mkuu
Mkuu achana na private lenders wana chezaga michezo hela yao ushindwe kurudisha.Kama vipi nyooka benki tu halafu unadhaminika sana kama una documents sahihi. Achana na mikopo ya mitaani japo si yote ni mibaya.Natafuta mkopo wa kiasi hicho tajwa hapo juu. Kwa haraka msaada please, sitaki bank sababu ni shida ya haraka.
Contact me 0716 026077
Private lenders wanavitu ambavyo hawapo makini. Anaweza kukopesha kwa kitu chenye mkopo tyari bila kujua.Mkuu achana na private lenders wana chezaga michezo hela yao ushindwe kurudisha.Kama vipi nyooka benki tu halafu unadhaminika sana kama una documents sahihi. Achana na mikopo ya mitaani japo si yote ni mibaya.