Natafuta Taasisi au Private Lender anayetoa mkopo wa Tsh. milioni 15. Dhamana ni nyumba au gari

Licas Casky

Member
Aug 7, 2014
17
4
Natafuta mkopo wa kiasi hicho tajwa hapo juu. Kwa haraka msaada please, sitaki bank sababu ni shida ya haraka.

Contact me 0716 026077
 
Nyumba ni yako?

Gari ni lako?

Je nyumba na gari vina thamani gani, na vipo wapi?

hati ya gari au nyumba unavyo.?

weka na picha
Nyumba iko Tabata na gari pia, tunaweza kuwasiliana kwa simu tafadhali. picha hapana mkuu.
 
Natafuta mkopo wa kiasi hicho tajwa hapo juu. Kwa haraka msaada please, sitaki bank sababu ni shida ya haraka.

Contact me 0716 026077
Natafuta mkopo wa kiasi hicho tajwa hapo juu. Kwa haraka msaada please, sitaki bank sababu ni shida ya haraka.

Contact me 0716 026077
Mkuu, Gari ni aina gani? nyumba iko Tabata Sehem gani?
 
Natafuta mkopo wa kiasi hicho tajwa hapo juu. Kwa haraka msaada please, sitaki bank sababu ni shida ya haraka.

Contact me 0716 026077
Mkuu achana na private lenders wana chezaga michezo hela yao ushindwe kurudisha.Kama vipi nyooka benki tu halafu unadhaminika sana kama una documents sahihi. Achana na mikopo ya mitaani japo si yote ni mibaya.
 
Private lenders wanavitu ambavyo hawapo makini. Anaweza kukopesha kwa kitu chenye mkopo tyari bila kujua.

Alafu kudhulumika ni rahisi sana na hawana pa kukimbilia.
 
Back
Top Bottom