Mkuu unaweza kunipatia mawasiliano ya huyu jamaa?wa mikoani unachukua? kuna tajiri wa kigoma anaitwa yalimo, anasema nguruwe wamempa utajiri
Mcheki kwa pm bossMkuu unaweza kunipatia mawasiliano ya huyu jamaa?
iko wap hii mkuu?Kama upo serious ndugu, nenda vikindu, ni km moja baada ya kupita geti la maliasili, uliza watu sehemu wanapofuga nguruwe, ni shamba kubwa, jamaa wana nguruwe wasiopungua 2000,.
Vikindu iko mbele ya mbagara, kuna chuo cha ualimu vikinduiko wap hii mkuu?
Shukran mkuu,Vikindu iko mbele ya mbagara, kuna chuo cha ualimu vikindu
Diwani wa vikindu bwana kampa ndo anafuga hao nguruwe na anawafuga kisasa pia anasehem yake anapouzia nyama yake panaitwa tandani iko mkabala na hosptal ya masistaVikindu iko mbele ya mbagara, kuna chuo cha ualimu vikindu
Diwani wa vikindu bwana kampa ndo anafuga hao nguruwe na anawafuga kisasa pia anasehem yake anapouzia nyama yake panaitwa tandani iko mkabala na hosptal ya masista
Kitimoto ni nyama ya pili kwa kuipenda ikishatoka kuku
Ila swala ni tamu aiseeKwangu kitimoto ndio number 1 kuku no.5 maana kuna nyama ya bata,sungura na swala usipime..
Una maana swala mnyama?. Kama ndivyo, basi katika nyama mbovu Porini ni ya Swala na Nyati. Nyamapori iliyo tamu kuliko zote ni ya NGIRi.Ila swala ni tamu aisee
Swala ya asubuhi mkuuUna maana swala mnyama?. Kama ndivyo, basi katika nyama mbovu Porini ni ya Swala na Nyati. Nyamapori iliyo tamu kuliko zote ni ya NGIRi.
Sawa mkuu. Unapofanya swala, omba siku mungu wako akufanikishe upate nyama ya huyo mnyama NGIRi. Utajikuta unanunua bunduki na Kuanza kusaka mapori anakopatikanaSwala ya asubuhi mkuu
Ngiri namjua sana tu. Tatizo Ngiri yeye ni mchafu balaa! Ni kama kakaake na nguruwe sema yeye anaishi kiporipori.Sawa mkuu. Unapofanya swala, omba siku mungu wako akufanikishe upate nyama ya huyo mnyama NGIRi. Utajikuta unanunua bunduki na Kuanza kusaka mapori anakopatikana
Mkuu inaonekana hujawahi ingia pori kuwinda, amini ninachokuambia, Muwindaji na mlaji mzoefu haangaiki na nyama ya swala.Ngiri namjua sana tu. Tatizo Ngiri yeye ni mchafu balaa! Ni kama kakaake na nguruwe sema yeye anaishi kiporipori.
Ila mkuu nyama ya swala ni tamu sana.... Karibia ingefanana na nyama ya mnyama fulani anaeitwa mbichichii kwa lugha ya Kichaga