Natafuta supplier wa nguruwe

Kama upo serious ndugu, nenda vikindu, ni km moja baada ya kupita geti la maliasili, uliza watu sehemu wanapofuga nguruwe, ni shamba kubwa, jamaa wana nguruwe wasiopungua 2000,.
iko wap hii mkuu?
 
Vikindu iko mbele ya mbagara, kuna chuo cha ualimu vikindu
Diwani wa vikindu bwana kampa ndo anafuga hao nguruwe na anawafuga kisasa pia anasehem yake anapouzia nyama yake panaitwa tandani iko mkabala na hosptal ya masista
 
Diwani wa vikindu bwana kampa ndo anafuga hao nguruwe na anawafuga kisasa pia anasehem yake anapouzia nyama yake panaitwa tandani iko mkabala na hosptal ya masista

Sante kwa nyongeza mkuu
 
Sawa mkuu. Unapofanya swala, omba siku mungu wako akufanikishe upate nyama ya huyo mnyama NGIRi. Utajikuta unanunua bunduki na Kuanza kusaka mapori anakopatikana
Ngiri namjua sana tu. Tatizo Ngiri yeye ni mchafu balaa! Ni kama kakaake na nguruwe sema yeye anaishi kiporipori.

Ila mkuu nyama ya swala ni tamu sana.... Karibia ingefanana na nyama ya mnyama fulani anaeitwa mbichichii kwa lugha ya Kichaga
 
Mkuu inaonekana hujawahi ingia pori kuwinda, amini ninachokuambia, Muwindaji na mlaji mzoefu haangaiki na nyama ya swala.
 
Drinkers advert.png
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom