Natafuta supplier wa nguruwe

Habari zenu wakuu,

Nina uhitaji wa nguruwe kwaajili ya kuchinja na kuuza aliyekuwa kaniuzia naona ameshindwa kwakuwa nguruwe wake wamebaki wachache sana. Napatikana Dar

Vigezo:
1. Uwe na uwezo wa kuniuzia nguruwe kumi na nne kila mwisho wa wiki, kwakuwa kila siku nina chinja nguruwe wawili. Ukishindwa kabisa kumi na nne basi atleast nguruwe si chini ya saba.
2. Uwe mwaminifu, usiniuzie nguruwe kwa kuwa ana matatizo ya kiafya.
3. Nahitaji kununua kwa mfugaji na si kwa wafanyabiashara ili kupunguza gharama za manunuzi.
4. Tutaandikishiana mkataba wa mwaka mmoja ambao ni renewable.

Kwa wafugaji, niPM unitumie na bei zako tuone ni jinsi gani tunaweza kuanza biashara nawewe.

Asanteni.
العمل غير قانوني فليس من الجيد بيع الخنازير أو لمسها
 
Nguruwe ni haramu.. Na pia nyama ya nguruwe ina "tape worms" ambao hawafi kwa kuchemsha .. So ukila jiandae tu kushwa utumbo wako na minyoo.. Ukisikia minyoo sugu ndo hawa.. Ata unywe dawa ya minyoo kila siku hawafi. Hii imethibitishwa na wataalam wa afya
Mkuu vipi utamu wake ukila na castle lite nne za baridi?
 
Back
Top Bottom