Natafuta supplier wa nguruwe

Mimi nimeanza kufuga mwaka jana nimeanza na majike 30 now nina nguruwe 230 ninataka niwe na uwezo wa kusuply nguruwe 100 kila week naendelea kuzalisha kwa kasi ya ajabu nimegjndua shida sio wateja shida ni uhakika wa bidhaa niko busy sana kuhakikisha kama kuna soko nalishika ipasavyo!!
 
Habari zenu wakuu,

Nina uhitaji wa nguruwe kwaajili ya kuchinja na kuuza aliyekuwa kaniuzia naona ameshindwa kwakuwa nguruwe wake wamebaki wachache sana. Napatikana Dar

Vigezo:
1. Uwe na uwezo wa kuniuzia nguruwe kumi na nne kila mwisho wa wiki, kwakuwa kila siku nina chinja nguruwe wawili. Ukishindwa kabisa kumi na nne basi atleast nguruwe si chini ya saba.
2. Uwe mwaminifu, usiniuzie nguruwe kwa kuwa ana matatizo ya kiafya.
3. Nahitaji kununua kwa mfugaji na si kwa wafanyabiashara ili kupunguza gharama za manunuzi.
4. Tutaandikishiana mkataba wa mwaka mmoja ambao ni renewable.

Kwa wafugaji, niPM unitumie na bei zako tuone ni jinsi gani tunaweza kuanza biashara nawewe.

Asanteni.
Soon nitakuwa supplier wako napambana kuzalisha niko kerege,, tayari ninao 230 ili niweze kukidhi soko nataka nisiuze wakifika 450 naanza maana nitakuwa nazalisha kila week niko makini kuhakikisha mwaka mzima mteja wangu hakosi huduma!
 
Nguruwe ni haramu.. Na pia nyama ya nguruwe ina "tape worms" ambao hawafi kwa kuchemsha .. So ukila jiandae tu kushwa utumbo wako na minyoo.. Ukisikia minyoo sugu ndo hawa.. Ata unywe dawa ya minyoo kila siku hawafi. Hii imethibitishwa na wataalam wa afya
Hata nyama ya ng'ombe inayo minyoo hiyo pia.
 
Mimi nimeanza kufuga mwaka jana nimeanza na majike 30 now nina nguruwe 230 ninataka niwe na uwezo wa kusuply nguruwe 100 kila week naendelea kuzalisha kwa kasi ya ajabu nimegjndua shida sio wateja shida ni uhakika wa bidhaa niko busy sana kuhakikisha kama kuna soko nalishika ipasavyo!!
Kuna mzungu nilikutana nae boardroom akaniambia anaduga nguruwe Morogoro na amewekeza $15M na anasema soko haliwezi kiasi kwamba soko la ndani hauzi nyama. Inaonekana soko ni kubwa mnotatizo ni ni si ya kuandaa / kukata vipande vinayotakiwa. ZanIbar tu soko lake ni kubwa
 
Okay hapa pia tatizo ni uzalishaji,, wengi wanashindwa kwenye consistency ya mkataba! yaani unatakiwa kuuza nguruwe kg 300 kila week ukianza miezi 3 umeishiwa na mkataba ni wa mwaka!! hapo ndipo tunaanza kupoteana ikiwa issue ni size ya kukata n.k hilo mtu anaweza kupewa somo na biashara ikaendelea! hata ukizunguka kipindi hiki kwa wafugaji wakubwa wengi hawana zaidi ya nguruwe 200! hivyo inabidi atafute soko la wafugaji na sio walaji kwa sana!! naendelea kuwekeza najua nitakuwa mfano! nitaomba wenye masoko ya uhakika kuwa pamoja nami kwa maana mimejipanga kuzalisha kwa kiwango kizuri na kikubwa washindwe wao
 
Vipi unafuga breed gani?
 
Akiweka na Bei itapendeza zaid
Habari zenu wakuu,

Nina uhitaji wa nguruwe kwaajili ya kuchinja na kuuza aliyekuwa kaniuzia naona ameshindwa kwakuwa nguruwe wake wamebaki wachache sana. Napatikana Dar

Vigezo:
1. Uwe na uwezo wa kuniuzia nguruwe kumi na nne kila mwisho wa wiki, kwakuwa kila siku nina chinja nguruwe wawili. Ukishindwa kabisa kumi na nne basi atleast nguruwe si chini ya saba.
2. Uwe mwaminifu, usiniuzie nguruwe kwa kuwa ana matatizo ya kiafya.
3. Nahitaji kununua kwa mfugaji na si kwa wafanyabiashara ili kupunguza gharama za manunuzi.
4. Tutaandikishiana mkataba wa mwaka mmoja ambao ni renewable.

Kwa wafugaji, niPM unitumie na bei zako tuone ni jinsi gani tunaweza kuanza biashara nawewe.

Asanteni.
 
Soon nitakuwa supplier wako napambana kuzalisha niko kerege,, tayari ninao 230 ili niweze kukidhi soko nataka nisiuze wakifika 450 naanza maana nitakuwa nazalisha kila week niko makini kuhakikisha mwaka mzima mteja wangu hakosi huduma!
Hongera sana aisee!!

Naona ni biashara nzuri, kuna sehemu huku kila wiki anachinja sita.

Ijumaa, jmosi, jpili.

Na ikifika saa sita hujaweka oda, umekosa tayari.
 
Back
Top Bottom