Natafuta Sponsorship ya Master studies

Natafuta Sponsorship ya Master studies

BARENGA

Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Habari wapendwa mm nmehitimu undergraduate studies lakini nataka kundelea na postgraduate studies yaan masters katika sector ya mafuta na gesi ,nmepata admission katika chuo kimoja scotland ,natafuta mtu wa kunidhamini yaan sponsorship au any form of study loan for master studies kwa mtu yoyote anaeweza kunipa ushauri nifanyaje mawazo yako ni msaada sana katika mafanikio yangu...
 
Kwanini usifanye kazi kwanza afu ndo uendelee na kusoma
 
Nataka kuendelea kusoma kiongozi nimalze masters kwanza
 
Nataka kuendelea kusoma kiongozi nimalze masters kwanza

Elimu ya kibongo bwana...we komaa mwenyewe usipende vya bure jifunze kujitegemea. Siku hizi s/ship ni ishu applicants 10000 nafasi2, tafta hela ukapige box na kusoma acha mawazo ya kikoloni
 
Back
Top Bottom