Natafuta soko la Sungura

Natafuta soko la Sungura

MKUU em ninahitaji wawili kwaajili ya kitoweo cha nyumbani. Nawapataje?
 
Eti mkojo wa sungura walisemaga ni deal sio?hahah
 
Nenda pale kijiji beach kigamboni mara nyingi kwny menu yao wanawekaga na nyama ya sungura unaweza pata soko
 
Labda ukauze kwa walevi. Nilifuga sungura mwisho wa siku niliwachinjia mbwa!!!. Biashara kichaa hii.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi nawapendaga kama pet tu, wanapendezesha nyumba ukiwa nao ila wasizidi 3.
 
kuna sehemu wanachukuaga ngoja nikuangalizie namba zao nikipata ntakutumia pm.biashara ikienda poa unibakizie mmoja wa kutafuna tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom