Natafuta soko la kuuza mahindi kwa bei nzuri

Ungekuwa na mzigo wa kutosha ningekusakizia mteja wa 680 kama inakuridhisha. Ila ukitaka kufaidika yatie dawa utulie nayo mpaka December.
nasikia iko mifuko maalum ya kuhifadhi nafaka zisioze bila kuweka dawa ni kweli? iko wapi? bei gani?
 
Ipo mkuu, bei kuanzia 4000-500. Kama unalima kibiashara haifai sababu bei yake ni juu sana. Hii inafaa kuhifadhia mahindi unayotaka kwa ajili ya matumizi ya nyumbani tu.
nasikia iko mifuko maalum ya kuhifadhi nafaka zisioze bila kuweka dawa ni kweli? iko wapi? bei gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom