Natafuta site mirror na power window za toyota verossa

Gamaha

JF-Expert Member
Jul 17, 2008
3,815
4,861
Heshima kweni wakuu najua hapa kutakuwa na watu wana maduka ya spare part za magari pls. natafuta site mirror na power window za verossa. kama unazo nifahamishe waungwana pamoja na bei zake
 
mkuu inaitwa side mirror sio site mirror

Kule nyuma ya shule ya Benja Mkapa umekosa?
 
Pole mkuu natumaini wale maharamia wa somalia wamekupitia lakini ndio maisha...nenda duka la mastercard pale opp na bigbon shell ukiuliza ukikosa nenda ukanunue hizo zako pale pemben ya bigbon kuna mlango ukiingia ndan uchelewi kuzikuta na namba zako kuzipata usipige kelele just muelewane...aka gerezani...tuliibiwa kioo cha mbele mark2 enzi hizo asbh mzee akaanza kuchchawa kweli ilimuuma maana ilikuwa gari yake kifutajacho..loh....,nikaelekezwa wahi gerezani saa moja niko pale nikakuta muungwana mmoja nkamweleza ukweli akaniambia tulia nikupeleke kwa boss...ana ofisi kabisa ndan nikaenda akaniuliza swali mmoja umetokea wapi nikajbu kimara bucha akasema mzigo wa bucha uko faya subiri dk 10...mzigo ukaingia nikaitwa nikaambiwa una sh ngapi nikajibu 25 nisaidien wakadai 70tukamalizana kwa 45..nikapaata kioo changu kikiwa na namba...jaribu kati ya hizo
 
mkuu Pdidy ahsante mkuu ni kweli vijana walinipitia. nitaenda hapo mitaa ya bigbon nikakicheki tatizo nimebanwa kidogo na majukumu nadhani jumamosi nitaenda huko. all in all thanks
 
Pole mkuu natumaini wale maharamia wa somalia wamekupitia lakini ndio maisha...nenda duka la mastercard pale opp na bigbon shell ukiuliza ukikosa nenda ukanunue hizo zako pale pemben ya bigbon kuna mlango ukiingia ndan uchelewi kuzikuta na namba zako kuzipata usipige kelele just muelewane...aka gerezani...tuliibiwa kioo cha mbele mark2 enzi hizo asbh mzee akaanza kuchchawa kweli ilimuuma maana ilikuwa gari yake kifutajacho..loh....,nikaelekezwa wahi gerezani saa moja niko pale nikakuta muungwana mmoja nkamweleza ukweli akaniambia tulia nikupeleke kwa boss...ana ofisi kabisa ndan nikaenda akaniuliza swali mmoja umetokea wapi nikajbu kimara bucha akasema mzigo wa bucha uko faya subiri dk 10...mzigo ukaingia nikaitwa nikaambiwa una sh ngapi nikajibu 25 nisaidien wakadai 70tukamalizana kwa 45..nikapaata kioo changu kikiwa na namba...jaribu kati ya hizo

Hiyo imetulia, ndo bongo ya ukweli hiyo
 
Back
Top Bottom