Brightson7
Member
- Feb 17, 2023
- 38
- 30
Wakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
Sumsung A52 Used kama Mpya nicheki 0626752501Wakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
Embu tuone camera yakeSumsung A52 Used kama Mpya nicheki 0626752501
250k ngumu kupata simu mpya unayoitaka
Chukua samsung A04e mpya full box kwa 220k 3/32GB au 240k 4/64GB utafurahia yafuatayoWakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
Chukua USED Google Pixel 3a ni best option Kwa 250k.Wakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
Hiyo simu hupati kwa bei hiyo hapa Bongo na hizo ratings ni kubwa kuliko uhalisia wa hiyo simu ambayo ni lowend, ingekuwa inapatikana kwa bei hiyo hapa Tanzania basi ingefaa.Chukua samsung A04e mpya full box kwa 220k 3/32GB au 240k 4/64GB utafurahia yafuatayo
1. Camera average 8/10
2. Battery excellent 9/10
3. Design nzuri 9/10
4. Processor 8/10
5. Screen 7/10
6. Software one ui 9/10
7. Durability 9/10
Hiyo simu nimeitumia najua nachosema, ingia YouTube na gsm arena usome reviews watumiaji wameisifia sana. Nakuhakikishia hutajutia pesa yako
Karibu
Hiyo simu hupati kwa bei hiyo hapa Bongo na hizo ratings ni kubwa kuliko uhalisia wa hiyo simu ambayo ni lowend, ingekuwa inapatikana kwa bei hiyo hapa Tanzanian basi ingefaa.Chukua samsung A04e mpya full box kwa 220k 3/32GB au 240k 4/64GB utafurahia yafuatayo
1. Camera average 8/10
2. Battery excellent 9/10
3. Design nzuri 9/10
4. Processor 8/10
5. Screen 7/10
6. Software one ui 9/10
7. Durability 9/10
Hiyo simu nimeitumia najua nachosema, ingia YouTube na gsm arena usome reviews watumiaji wameisifia sana. Nakuhakikishia hutajutia pesa yako
Karibu