Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,344
- 1,842
Kama kichwa kilivyo hapo juu natafuta shule niwe nafundsha vipindi takavyo pangiwa....ila isiwe full time iwe part time job au kama kuna wanaohitaji kufundshwa private pia Niko tayar. Sifa zangu: Nko mwaka wapili Udsm (Bsc education physics na math)......kama kuna shule tapata nipo tayari kupeleka matokeo yangu ya 4m4 4m6 na ya chuo kwa mwaka wa kwanza....