Natafuta shule ya kufundisha somo la Fizikia

Himidt Lengo

JF-Expert Member
Jan 4, 2018
239
250
Natafuta shule ya kufundisha physics, Nina shahada ya sayansi katika fizikia (bsc in physics)

Nipo jijini Arusha naomba kama kuna mtu anafahamu shule yenye uhitaji, basi anitaarifu.

Namba yangu za simu ni 0759641184.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom