Poa Poa kaka ila ndo maana ni biashara naamini inawezekana tu kwa makubaliano
Kwa yeyote mwenye information juu ya upatikanaji wa kiwanja maeneo ya arusha ambalo naweza kufanya shamba hasa nje ya mji kidogo ila si maeneo ya kisongo au hiyo barabara ya arusha dodoma bali maeneo yote ya barabara ya arusha moshi kasoro tu maeneo ya maji ya chai. Wasiliana nami petyjony@hotmail.com
mkuu ukipata kwa hiyo bei naomba nami uniunganishe,hahaha hata mimi ninayetoa hiyo mil 5 sio mjinga najua ina worth thamani ya ardhi kwa sasa...nitapata tu
I'm stay tunedMabreka just have cash on your hands and then see what miracles money can do, you just saying out of the blues you have no clues!
Mmmm jamaa bajeti yake 5M we wasema 225M aisee kazi ipolipo shamba kubwa la hekari na nusu moshi -arusha , maeneo ya usa river bei millioni 225 pia lina nyumba kama upo serious vickney80@rocketmail.com