Natafuta Shamba la kununua Arusha au Arumeru- Kubwa kwa Bei Isiyozidi Million 5.

TheTruth

Member
Apr 1, 2012
29
3
Kwa yeyote mwenye information juu ya upatikanaji wa kiwanja maeneo ya arusha ambalo naweza kufanya shamba hasa nje ya mji kidogo ila si maeneo ya kisongo au hiyo barabara ya arusha dodoma bali maeneo yote ya barabara ya arusha moshi kasoro tu maeneo ya maji ya chai. Wasiliana nami petyjony@hotmail.com
 
mkuu hiyo bei ni ngumu sana kupata shamba kwa arusha maeneo unayoyataka. . .
 
Poa Poa kaka ila ndo maana ni biashara naamini inawezekana tu kwa makubaliano
 
Shamba? La hatua kumi kwa kumi na tano ama? Waarusha na wameru wana maakili wewe, ohoo!
 
Brother kwa kiasi hicho utapata mbali mno na miundo mbinu kama maji na barabara. Unaposema "shamba kubwa" unalenga nini? Vipimo common vya eneo la ardhi ni acre au hectare. Je unataka ukubwa gani?
 
Kwa yeyote mwenye information juu ya upatikanaji wa kiwanja maeneo ya arusha ambalo naweza kufanya shamba hasa nje ya mji kidogo ila si maeneo ya kisongo au hiyo barabara ya arusha dodoma bali maeneo yote ya barabara ya arusha moshi kasoro tu maeneo ya maji ya chai. Wasiliana nami petyjony@hotmail.com

Mkuu, we mgeni wa Arusha inaelekea!
Kwa 5 m hata sehemu ya kujenga choo au kupaki gari kwa hayo maeneo uliyoyataja hutopata! Kwa hiyo 5 m labda unaweza kununua njia!!
Kama unataka eneo kubwa aru-moshi road andaa 40-50 m (ekari 1) .., kwa Kisongo sifahamu ila kwa 5 m hupati kitu!
Kama uko tayari nikuunganishe kwa mwenye shamba eneo la kwa Pole karibu na Tengeru kuna 3/4 ekari inauzwa 40 m! Chezea Arusha wewe!
Kila la kheri.
 
Kaka naijua arusha kuliko unavyofikiri...ndio sikuwepo kwa muda ila nahakika mbele ya pesa nitapata kiwanja chakutosha tu kwa hiyo mil 5 unayoona ni ndogo..
 
hahaha hata mimi ninayetoa hiyo mil 5 sio mjinga najua ina worth thamani ya ardhi kwa sasa...nitapata tu
 
hahaha hata mimi ninayetoa hiyo mil 5 sio mjinga najua ina worth thamani ya ardhi kwa sasa...nitapata tu
mkuu ukipata kwa hiyo bei naomba nami uniunganishe,

mkuu kwa mromboo chini kabisa kwenye tindiga ( kunatwamisha maji) kieneo chenye 10x11=1.6 M, sasa huko uliukotaja tengeru ............. viwanja vya 15x18 vinaanzia mill 15, sijui shamba litakuaje
 
Thetruth kwa bei hiyo nina mashaka kama utapata ukubwa wa eneo unalolitaka na kwa maeneo uliyosema. Kama utapata nitaomba na mimi uniunganishe kwa huyo atakayekuwa amekutafutia.

Viwanja vya Arusha havishikiki ukizungumzia nusu ekari hata kwa maji ya chai uwe na kuanzia mil 15 kwenda juu ila inawezekana ukabahatika
 
Mabreka just have cash on your hands and then see what miracles money can do, you just saying out of the blues you have no clues!
 
hahaha you must be joking, nazungumzia mambo ya million 5 we unaniletea ya million 225? are you serious?!
 
Arusha na Moshi ardhi imekua ni anasa,wanapandisha bei kila kukicha.....naomba kama kuna mdau anayejua lolote kuhusu Mkonoo anijuze .1) Je? Ni maeneo mazuri kwa makazi. 2).kuna ukweli wowote juu ya ujenzi wa daraja na barabara itakayounganishwa na njiro? Thanks.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom