Natafuta Serious Partner wa Kuanzisha Mradi Mkubwa Wa Nguruwe Tanzania

Nguruwe ni nyama tamu sana kwa kweli, kuhsu madhara, kitu chochote ukikitumia kupita kiasi kina madhara, hata nyama ya ng'ombe ina madhara... tusivuke mipaka, inapoishia haki yako, ni mwanzo wa haki ya mtu mwingine

Wanyama najisi na wasio najisi
(Kumb 14:3-21)
1Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, 2“Wawaambie Waisraeli hivi: 3Kati ya wanyama wote duniani, mmeruhusiwa kula mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika sehemu mbili na ambaye hucheua. 4Lakini msile mnyama yeyote ambaye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili, au ambaye kwato zake zimegawanyika lakini hacheui. Msile ngamia, kwani hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika sehemu mbili. Kwenu huyo ni najisi. 5Pelele msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. 6Sungura msimle; yeye hucheua lakini kwato zake hazikugawanyika; kwenu huyo ni najisi. 7Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu huyo ni najisi. 8Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao.
 
(1) Biblia hua haisomwi kama gazeti. (2) ukisoma aga no la kale ukumbuke kusoma na agano Jipya.
 
(1) Biblia hua haisomwi kama gazeti. (2) ukisoma aga no la kale ukumbuke kusoma na agano Jipya.

Bwana Yesu alisema: Msidhani ya kuwa nalikuja kutangua torati au manabii, la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie. (Mt. 5:17-18).
 
Unamwamini Yesu?
 
Baki na dini yako usiwapotoshe watu hapa.
1Timotheo 4:1-5
"1.Basi roho anena waziwazi kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani wakisikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya shetan.....
...3.wakiwazuia watu wasioe na kuwazuia wajiepushe na vyakula ambavyo Mungu kaviumba vipokewe kwa shukran nalio na imani wenye kuijua hiyo kweli 4.kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri wala hakuna cha kukataliwa kama kikipokewa kwa shukran 5. Kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.
 


@Rebecca83
 

Rebeca 83
 
Pork meat is one of the best meat ever!!
Usidanganye watu.
Kuna joint moja iko nyamanoro,kabla hujafika njia ya kupandisha kawekamo kuna kiti moto moja matata Sana'a!This wkend lazima nimshtue boss tukatandike kilo na ndizi nne.


Mimi sijakukataza kula kitimoto isipokuwa nilijaribu kudadavua madhara yake mtu anapokula, mbona paketi ya sigara imeandikwa; "smoking cigarettes is harmful to your health", lakini wapo mazwazwa licha ya kuona hilo onyo bado wananunua na kuvuta nami sitashangaa hali hiyo kuwepo kwa walaji wa kitimoto.

Ukisoma maandiko matakatufu Qur'an na Biblia na hata mafundisho yw kiyahudi ulaji wa kitimoto ni haramu.

Wataalamu wa chakula na lishe (foods and nutritions experts) wanasema; "You are what you eat" yaani; upo kutokana na vyakula unavyokula (kitabia na mienendo).

Katika wanyama wanaoliwa na binadamu kimakosa ni nguruwe tu wanaifanyiana USHOGA na ni nguruwe ndiye viungo vyake vinashabihiana sana na viungo vya binadamu na ndiyo maana wataalamu wa utabibu wanasema viungo kama macho, maini, mafigo, kongosho, mapafu nk, ya nguruwe yanaweza kutumika kupandikizwa kama viungo mbadala wa viungo vilivyoharibika vya mwanadamu, kwa muktadha huo mtu anayekula nyama ya nguruwe yupo KARIBU mno na kula nyama ya binadamu ndiyo maana watu husema; aliyeanza kula nyama ya binadamu hawezi kuacha, na hapa umethibitisha mwenyewe uliposema; "pork meat is one of the best meat ever" na ukakazia point yako kuwa utakula kilo moja na ndizi 4,🤔.

Nguruwe licha ya mwili wake kuwa na sumu nyingi lakini pia anacho kichochea kinachowafanya madume yao yapende "kugegedana" kichocheo hicho kinayo athari hiyo hiyo katika mwili wa mtu anayekula hiyo nyama.

Hatutaki sisi waafrika (waswahili) tuwe mashoga kama wazungu.
 

Una mawazo mazuri na mipango mizuri sana, I hope tungekutana (ungeleta uzi) miaka miwili iliyopita ningekua perfect match wako, Ila Miaka imekwenda nimejikita kwenye majukumu mengine ya kitaaluma kwa sasa. Kila la heri anyways
 
Mmh wapi huko nguruwe hawana soko?
Halafu tatizo lako la kufa nguruwe wadogo hiyo ni kweli ila inatokana na poor management!
Hiyo ya nguruwe kukua zaidi ya mwaka tatizo ni mbegu mkuu!
Tena unamshauri mwenzio eti aende mkoani akatafute hao walienyeji ambao atafuga mwaka mzima😂😂😂😂😂😂😂
Wengi tunafeli kwasababu ya kukosa taarifa sahihi!

Namshauri mtoa mada asikate tamaa soko la nguruwe liko waxi kabisa haijalishi unafugia kujijini au mjini!
Loxodona endelea mkuu naamini Mungu akikusaidia hutojutia kabisa hii project
 
Mkuu mie nafuga nguruwe pia.ninao 23.nimeipata hii kutoka kwa baba yangu.ni moja ya project with a strong market kiukweli.nikichinja nguruwe wa 80kgs kuendelea less than an hour nimeuza NYAMA yote.funga nguruwe hutalia sina ajira
 
Mkuu mie nafuga nguruwe pia.ninao 23.nimeipata hii kutoka kwa baba yangu.ni moja ya project with a strong market kiukweli.nikichinja nguruwe wa 80kgs kuendelea less than an hour nimeuza NYAMA yote.funga nguruwe hutalia sina ajira
Thank you Sana Opot Opot Kwa kunipa moyo wa kuendelea na wazo langu na Kwa kunipa field experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…