enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,065
- 3,585
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana,
Mimi ni kijana muhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu kwa masomo ya GEOGRAPHY na HISTORY, na nimehitimu mwaka huu.
Kwa sasa natafuta sehemu ya ku volunteer iwe shule ama taasis yoyote ile amabayo naweza kufit.
Nina uwezo mkubwa usiotiliwa shaka wa kufundisha masomo ya GEOGRAPHY, HISTORY, LITERATURE, CIVICS (GENERAL STUDIES) na COMMUNICATION SKILLS kwa level zote kuanzia english medium primary school mpaka A level pasipo kusahau na vyuo huria.
Kwa yeyote anayeweza kunisaidia pa kujishikiza huku nikisubiria sehemu nilizotuma CV yangu naomba anisaidie.
Kwa sasa nipo KAGERA ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya mkoa huu.
Natanguliza shukrani.